Thursday, April 7, 2016

RANGI AZIPENDAZO KAPULYA......KIJANI

Hii rangi ni moja ya rangi nizipendazo. Sasa hapa hata sketi, gauni wala suruali  hakuna sijui itakuwaje .....Na hicho kiatu sijui nitafika niendako kweli..... ???

3 comments:

Ester Ulaya said...

Hizi rangi ni nxuri sana dada

Penina Simon said...

Thanks Kapulya,
Hata mm na geen kwa kweli i like it

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin! ...Dada P Ahsanteni kumbe tupo wengi tupendao kijani. Kijanii oyeeeeee