Wednesday, April 20, 2016

WATU NA MAENDELEO YETU...TUMETOKA MBALI

 Nakumbuka sana mtindo huu wa jiko la kuni na mafiga matatu. Tumetumia sana hadi kuwa hivi tulivyo kwa kila Aina ya mapishi....
 Pia nakumbuka majiko haya pia, marehemu mama yangu alikuwa mtundu sana alikuwa akiweza kutengeneza kwa matofali na udongo jiko kama hili...ingawa hili hapa ni la sementi....lilikuwa linatunza sana moto na matumizi ya kuni yalikuwa madogo.......
Na sasa baadhi wanatumia majiko/jiko kama haya /hili lakini hapa mwenzangu mimi kaona ya kale ni bora ...Nimependa hii kwa kweli kwa namna fulani.

4 comments:

ray njau said...

Hii haisomeki kabisa!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Haisomeki kabisa kivipi?

Penina Simon said...

Mimi bado napenda hilo jiko, linanikumbusha asili na mambo mengi sana.
so good yaani

Yasinta Ngonyani said...

Dada P. ni kweli itu vya asili n vizuri na baora sana ..Ahsante