Thursday, May 28, 2015

LEO NA WANGONI WETU HAPO KALE!!

pPicha ya leo /wiki ni hii hapa....ni ndugu zetu wangoni hapo kale...nimependa mavazi yao ...PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA  HAPA HAPA :-) KAPULYA...

3 comments:

Anonymous said...

Dah!natamani kujua majina yao.

Nicky Mwangoka said...

Kuenzi mazuri ya asilia ni muhimu sana

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina! tutafanya utafiti

Kaka Mwangoka! Hakika ni muhimu sana