Saturday, May 16, 2015

SASA TUNAANZA NA ILE BUSTANI YETU....RASMI NIMEANZA LEO FUATANA NAMI KUONA MAENDELEO...

 Kama unaona kijana kijana ni vitunguu saumu ambavyo nilipanda mwaka jana  vimekuwa tosha kula..:-)
Ni raha ilioje kuanza tena kulima bustani..maaana mikono ilikuwa inawasha sana ..nimepatika mchicha, chainizi, figiri mboga maboga nk.  Ni Kapulya wenu ------

2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana na kilimo kwanza. Tunasubiria wakati wa kuvuna mana jembe! Jioni njema.

Yasinta Ngonyani said...

EEeehh jamani usiye na jina hutaki kusaidia kulima wala kupenda ila kuvuna tu??:-(