Wednesday, May 13, 2015

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO :- PICHA YA WIKI

Mbuzi wameamua kupanda mpaka juu kabisa maana huko ndiko chakula kipo...Sijui ningeweza kufanya hivyo?

3 comments:

NN Mhango said...

Hii kubwa lao na nimeipenda. Hawa wajamaa ni wabunifu na wapambanaji kweli kweli, ila waangalie wasikutane na chui huko pakachimbika bila jembe.

Yasinta Ngonyani said...

Hawajafikiria kama chui atatokea hapo:-)

obat cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat penggugur