Thursday, May 7, 2015

CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KWA WIKI HII NI HILI HAPA......

Nimependa usemi huu MAISHA POPOTE, MUHIMU FURAHA. Kuna siku moja mtu mmoja aliniuliza hivi ninyi watu mtokao AFRIKA kwanini kila wakati mnaonekana watu wa furaha tu? Na pia ni wakarimu hata ukiwa na kidogo au unaishi hali ya chini lakini mnaonekana ni wacheshi tu Je? kuna siku huwa mnanuna? Nakumbuka,  nilimjibu hata kama nikinuna, Je ndiyo nitafanikiwa? Akanijibu ni kweli...sasa ninyi wenzangu katika hilo swali mngejibu vipi? KARIBUNI TUJADILI.......

3 comments:

Nicky Mwangoka said...

Nimeipenda hiyo

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky...hata mie niliipends na naipenda na naitamani!

ray njau said...

Ni bora kuishi katika nyumba yenye mlo wa mboga za majani kuliko mlo nyama pamoja na ....................