Tuesday, May 5, 2015

ENZI HIZO WATU WOTE WALIKUWA SAWA....

Ni kweli, zamani kulikuwa na Kanisa moja,  hospital moja, chama kimoja, shule moja kila kijiji, watu walikuwa wakitembeleana na walikuwa wajamaa...pia hata chakula tulikuwa tunakula sahani moja ...

2 comments:

NN Mhango said...

Nyerere hakuhitaji ulinzi kwa vile hakuwa mwizi na fisadi wala mbabaishaji. Hata mambo yalipomshinda au kuwa magumu alikiri bila woga wala aibu. Kwa sasa tunatawaliwa na magenge ya wahalifu yasiyojiamini. Bila kujizungishia ma body guards wananchi wanaweza kuwa-Gaddafi. Maana wanawachukia hakuna mfano. Watawala wa sasa dhulmati hawawezi kuwa na uhuru kama huu pichani. Roho zao na woga wao vinawasuta na kuwalazimisha wajichimbie nyuma ya magari mazito na walinzi mamia ili wawe salama. Unadhani ikitokea mtu akakutana na mtu kama Kikwete akiwa peke yake kichochoroni au mbugani atamfanya nini zaidi ya kumfanya alipie madhambi yake?

semenax herbal said...

thank informasinya ,, semoga bermanfaat