Thursday, May 14, 2015

HIVI NDIVYO WALIVYOKUWA WAKIJIKINGA MABABU ZETU HAPO KALE KWA HATARI

Tusisahau vyetu vya asili. Tuwasimulie na vizazi vyetu ilikuwaje. Huwa najiuliza je hizi picha zimehifadhiwa sehemu nzuri kama makumbusho vile ili tuweze kuwapeleka watoto/vizazi vyetu kuangalia? au Je tunavyo nyumbani? binafsi nina ngao na mkuki:-) ...Lol

2 comments:

Amos Msengi said...

Hizo ngao naona zimebaki kwa baadhi ya makabila kama maasai, tatulu, mang'ati etc.

Wengi tumeiga maisha ya ulaya.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Amos kwanza karibu sana katika kibaraza hiki . Ni kweli miaka hii wengi tunaiga sana maisha ya Ulaya na kuna wakati tunaiga hhata yasiyotakiwa kuigwa. Ahsante!