Tuesday, June 17, 2014

JIONI YA LEO NA UJUMBE HUU!!!

Kwanini ukubali starehe ya sekunde iharibu maisha yako na kuacha yatima?
JIONI NJEMA SANA KWA WOTE PAMOJA DAIMA.

3 comments:

Anonymous said...

Da Yasinta, naona unatutolea mafumbo, sasa starehe ya sekunde ni ipi? By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu...hakuna cha mafumbo ni ujumbe tu wa kawaida.

ray njau said...

Michepuko siyo dili au??