Sunday, June 15, 2014

KAPULYA ANAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA SANA WOTE MTAKAOPITA HAPA KIBARAZANI

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA

12 comments:

Anonymous said...

Nawe iwe njema kwako na familia yako.

Anonymous said...

Yasinta umependeza kweli kweli! Nakutakia Jumapili njema. By Salumu.

emu-three said...

Hongera sana mpendwa, kama hii picha ni ya karibuni, bac inabidi utupe siri yake...

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni kwa kuwa nami jumapili hii..Ndugu wa mimi emu-three ni picha ya kitambo kidogo.

ray njau said...

Hujambo Kapulya??

Yasinta Ngonyani said...

ehhh kaka Ray ! umeadimika ndugu yangu mie Sijambo sijui wewe?

Anonymous said...

Nimecheka sana sana na comment ya emu-three! hivi ni mtani wako da Yasinta au? Yaani kila nikirudia kusoma nacheka sana.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye jina...sio wewe tu hata nie nimecheks mno...emu-three ni kakangu wa hiari:-)

ray njau said...

ehhh kaka Ray ! umeadimika ndugu yangu mie Sijambo sijui wewe?
-----------------------------------
Asante nami nashukuru Mungu nipo salama,asante kwa kujali!!

Allan Njama said...

Pendeza