Sunday, June 1, 2014

JUMAPILI IWE NJEMA KWA WOTE :- MAENDELEO YA BUSTANI YA KAPULYA

Jumapili ya leo nawaonyesheni bastani yangu nilipofikia. Mwaka huu mboga zangu zipo nyuma kidogo hadi leo tarehe 1/6 bado sijaonja. Hapa ni figiri

na hapa ni vitunguu  na vitunguu saumu

6 comments:

Anonymous said...

Hongera kwa kilimo kwanza. Bustani imependezaaaaaa! Tunasubiria subiria kama ulivyosema mambo yakiwa tayari ah utaniona hapo mlangoni kwako ili tufaidi kula pamoja. Siku njema.

Anonymous said...

Hongera da Yasinta! Nasubiria maboga matamu uliyoniahidi. By Salumu.

Anonymous said...

Maboga kaka Salumu!!! Si alikuwa na mbegu za maboga yasiyoliwa!! Au dada Yasinta umepata mbegu zingine? Nakumbuka mara ya mwisho ulipolima ulikuwa na maboga mwitu ambayo hayafai kwa kula binadamu, au? Kwa hiyo kaka Salumu utasubiri saaaaaaaaaaaaana tu!mpaka twende TZ tena kuchukua mbegu zingine..!!

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu zanguni ahsanteni sana kwa kuwa nami ...wala msiwe na shida wote mtapata mtakacho...nimepata mbegu za maboga ya kula pia kwa hiyo kaka Salumu utakata boga lako....

Ester Ulaya said...

Napenda sana figiri. hongera sana dada kwa kulima

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Basi ikukua tu nitakutumia:-) Ahsante!