Friday, May 30, 2014

NI MUDA SASA HATUJASIKILIZA NYIMBO ZETU ZA ASILI NGOJA BASI LEO TUKUMBUSHANA NA HUU

www.muziki.net/wangoni-nigenda-nepipi

NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA PIA MWISHO WA JUMA MWEMA SANA!!

2 comments:

sam mbogo said...

wimbo huu matata sana,nina upenda sana .sijuwi walifikilia nini wangoni hawa kuimba namnahii. asante sana dada yasinta,kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa kuupenda ...kusikiliza ni raha sana na zaidi kucheza Jaribu uone:-)