Thursday, May 22, 2014

USISAHAU ULIKOZALIWA/TOKA..KWETU NYASA HAPA!!!

Mtazamo/mandhari ya kuvutia ya ziwa nyasa hapa ni Mbamba  Bay Mkoani Ruvuma.

2 comments:

emu-three said...

Hongera sana, tupo pamoja

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante ....pamoja daima. Karibu nyasa kwetu.