Sunday, May 11, 2014

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!

SWALI LA LEO:- Je? unamfahamu mwanadada huyu ?

10 comments:

Anonymous said...

Huyo ni Yasinta Ngonyani. Naomba utuwekee angalau maelezo kidogo kuwa ulikuwa wapi? Ni ya mwaka gani? ulikuwa umeolewa au bado? Tafadhali baada ya kutujibu kama ni wewe tujulishe hayo. Imekuwa kama puzzle vile!

Rachel siwa Isaac said...

Huyu ni KADALA,Ndugu wa KACHIKI na KADODA...Binti wa Ngonyani...

Muwe na siku njema na wasalimie watu wangu hapo nyumbani..Mingi Love.

Anonymous said...

Huyu ni dada yetu Yasinta! By Salumu.

isaackin said...

huyo ni wewe mwenyewe binti kapulya.
niko na mdogo wako binti Mapunda hapa anakusalimia sana

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Huyo ni mama Erik

Rafikio wa hiari said...

Mwenyewe huyu ni Yasinta, penyewe hapa sijui ni wapi vile? Itakua mfaranyaki kama sio bombambili hahahha!
Umekumbuka nyumbani leo rafiki?

Yasinta Ngonyani said...

Hakika ndugu zangu wote mmpetatia kabisa huyo mdada ni Yasinta/mimi haswa wakati nipo KADALA kama ndugu Yangu Kachiki alivyosema ..Na nachukua nafasi hii na kumjibu msomaji wa kwanza hapo juu: Hapo Matetereka au niseme Wilima huko Madaba na ni mwaka 1992 nilikuwa bado sijaolewa na hii picha nakumbuka alipiga Haule. Nadhani nimejibu maswali ya ndugu yetu hapo juu:-)

Anonymous said...

Asante kutupa majibu. Siku njema.

NN Mhango said...

Nasema huyo si wewe bali picha ya mdada mmoja anaishi Skandinavia na mzaliwa wa Songea. Kama sikosei huyu mdada mnafanana tu lakini si wewe.

Yasinta Ngonyani said...

Mwal. Mhango! Huwezi kujua si unajua duniani wawili wawili..au pacha:-)