Thursday, May 15, 2014

PICHA YA WIKI:- SIJUI HAPA WANASUBIRI WATEJA AU....

...labda ni mashindano ya pikipiki..ila huyo mwenye sweta nyekundu sijui vipi na hilo panga?? Watoto bwana wana ubunifu sana..Nimependa sana hii:-) PAMOJA DAIMA!!

5 comments:

rafiki said...

rafiki hizi baiskeli wakati tunasoma shule ya msingi kule Mufindi tulikua tunaita "vigereti" ila zile zilikua hazina seat, unafanya kusimamia na mguu mmoja hewani...ukiwa unashuka kwenye mteremko ndio raha yake....nimekumbuka sana maisha ya wakati ule!

Yasinta Ngonyani said...

Rafiki...nafurahi kusikia umekumbuka ya kale. Mimi nimetamabi kuwa mdogo tena-:)

Ester Ulaya said...

nimeipenda, mashindano yanakaribia kuanza

Bashikulu Mligo said...

Pengine tunge ruhusu ubunifu huu uendelee, sasa tungekuwa mwezini.

Yasinta Ngonyani said...

Ester! shukrani kama umependa hii na kweli hapo karibi shindano laanza 1, 2, 3.........

Ndugu yangu Mligo! Umeifanya siku yangu ianze na tabasamu!