Tuesday, June 10, 2014

HAYA NDIYO MAENDELEO YA BUSTANI YETU

 FIGIRI
 NA HAPA NA MBOGA YA MABOGA
Na mwaka huu nimeongeza na ZABIBU 
Karibuni sana.
Mavuno ya kwanza ..figiri hiyo nimekula mchana leo:-) sijui hapo kama kununu ningelipa shilingi ngapi?
 

6 comments:

Ester Ulaya said...

DADA HONGERA SANA KUKUZA MBOGA. NAJA KULA

Yasinta Ngonyani said...

kwanza ahsante sana na pia karibu sana tena nimeshaonja ila ujapo njoo na unga wa ugali.....

Ester Ulaya said...

tena nitakuja na dona nimechanganya kidogo unga wa muhogo

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin wahi basi nakusubiri njaa inauma bwana na hivyo umesema unga wa dona uliochanganywa na wa muhogo ,,,,,,umenifikisha penyewe kabisa

Anonymous said...

Hongera kwa kúvuna na kula mboga ya shambani kwako! Mie njaa mana nimesoma hapo juu mnavyoongea na Mama Alvin, mbona nimetamani sana. Kweli ingekuwa umeenda zako kununua supermarket ingekuwa balaa sana! Si siku moja nipo ICA nikaona ule uyoga wako wa wakati ule ulitoa msituni na kuusafisha na baadae kupika, yani uleule naukumbuka sana, si kilo moja ni Sek. 250.00 (Tshs. 50,000.00)hivi jamani jamani! Haya dada endeleza kilimo kwanza mie nakuja kula. Jioni njema.

ray njau said...

Daima mtoto wa kike hachoki!!