Friday, June 20, 2014

CHAKULA KILICHONIKUZA MPAKA KUWA KAMA NILIVYO LEO....

Nimekitamani kweli chakula hili ..samaki, ugali na bamia..mmmhhh nausikilizia utamu wake.
JIONI NJEMA KWA WOTE

2 comments:

ray njau said...

Huu mlo ni mlo wenye ladha na manufaa za kipekee,ujaribu leo na utasema asante sana da Yasinta.

ray njau said...

Ngiterewa ukaryi na samaki mae!