Sunday, June 22, 2014

JUMAPILI NJEMA KWA YEYOTE ATAKAYEPITA HAPA MAISHA NA MAFANIKIO!!


AMANI YA BWANA IWE NANYI WOTE.

2 comments:

Anonymous said...

Wimbo huu unasema kweli kabisa, matendo mazuri ndio yatakayomuingiza mtu mbinguni na sio pombe, wala machangudoa, wala uzinzi na uasherati, wala miziki ya kidunia. Mungu ametupa nafasi sasa tubadili matendo yetu na kumgeukia yeye. Mbinguni kuna malaika wanaoimba na kushangilia muda wote. Kwa imani tunapata wokovu na kubadilika. Bwana Yesu tushike mkono, tusaidie katika maisha yetu ya hapa duniani ili tuweze kuenenda sawa sawa na mapenzi yako. Amen na iwe hivyo. Leo dada umeweka mahubiri hapa, wimbo wote ni mahubiri tosha.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kupita hapa.....pia kuupenda wimbo/mahubiri