Monday, June 23, 2014

ILIKUWA 2007 NYUMBANI RUHUWIKO...NIMEONA IWE PICHA YA WIKI!!!!!

 Niliona ni bora nivae na kofia:-)
mmmhh haya ya kofia mimi siyawezi ....lakini sasa eti nimefumba macho sijui ndo nini?

4 comments:

Anonymous said...

Miaka 7 nyuma ulikuwa hivyo, naona mpaka leo upo hivyo hivyo au unasemaje? Hujabadilika kabisa kwa hiyo picha. Tupe siri ya kutozeeka/ kubakia kijana! Nasubiria dada.

ray njau said...

Nyumbani kwetu ni kwetu na kwetu ni nyumbani na hakuna kwetu bila nyumbaniKaribu nyumbani kwa da Yasii!!

Rachel siwa Isaac said...

Ulitokelezea sana dada wa mimi.hiyo kofia imekutoa vyema.....

Yasinta Ngonyani said...

Usiye jina hakuna siri yoyote

Kaka RAY..Ahsante

Kachiki...ashante ndugu yangu ila hiyo kofia niliazima:-)