Wednesday, September 25, 2013

MSIFIKIRI NIMEPOTEA NIPO ILA MAJUKUMU YANAFANYA NIADIMIKE

....Nitarudi muda si mrefu kuwa nanyi, tena labda kesho tu......nawatakieni wote kila la kheri panapo majaliwa tutaonana kesho.  Kapulya

2 comments:

ray njau said...

Kibarazani hapa tumetulia na sasa tunakusubiri.
"Omo na tezi marejeo ngamani"

Penina Simon said...

Ok, lakini mboga zetu na maua vyaendelea vyema? hope ukija utanionyesha yae maboga yamefikia wapi