Friday, September 6, 2013

NAWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA ......SEHEMU FUALANI NDANI YA AFRIKA...NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA NA MWANZO MWEMA WA JUMA TUWE NA AMANI NA KILA LA KHERI KWA KILA KITU TUKIFANYACHO...NA KUMBUKENI WOTE MNAPENDWA....Sisi sote ni ndugu na ni watoto wa baba mmoja ....Kapulya

2 comments:

ray njau said...

Amani,furaha,upendo na kusameheana bila kuweka kinyongo moyoni.Kinyongo ni sumu ya maisha na mafanikio.Wikiendi maridhawa kwa raha bila karaha.

Yasinta Ngonyani said...

kaka ray ! ahsante kwa kutukumbusha ..uwe na wiki endi njema nawe pia.