Sunday, September 22, 2013

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!Au pia tumsikiliza dada Jennifer Mgendi na wimbo huu Jaribu langu!!

NAWATAKIENI JUMAPINI NJEMA NA YENYE AMANI PIA UPENDO KWA WOTE NA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU ZITAWALE NYUMBANI MWETU/MWENU AU MWAKO...

6 comments:

Anonymous said...

Pole na majaribu Dada Ýasinta, nilipozisikiliza hizo nyimbo mbili zenye ujumbe unaofanana kabisa basi nikagundua unaoitia jaribu Fulani.Mungu akutetetee namie nina majaribu yangu mengi tu ni kuombeana dada. Jumapili njema. Wapi Dada Mija?

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina!...Ahsante..maisha ni majaribu....Haya bwana tuombeane.. Nadhani nawe uJumapili yako ilikuwa njema..Hata mimi najiuliza dada mkuu msaidizi yupo wapiiii???

ray njau said...

Weka udumu!Asante sana!

cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing obat cytotec

obat vimax said...

vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

Vicent Kinogo said...

kama unataka kufanya kibiashara nipe mawasiliano nikuunganishe na mtu anafanya biashara hiyo na anauza china.mawasiliano yangu ni kinogovicent@gmail.com or +255755637176 / +255673637176