Friday, September 20, 2013

TUIANZE IJUMAA/MWISHO WA JUMA NA ZILIPENDWA...


Hakika vya zamani ni vizuri na vinadumu  hizi tulikuwa tukizisikia tangu tupo migongoni wa mama zetu .....Nafurahi zimetunzwa na leo watoto wetu wanaweza kusikiliza...IJUMAA NJEMA KWA WOTE...

2 comments:

sam mbogo said...

Yasinta umewaza nini mpaka ukauchagua wimbo huu au muziki huu.Hakika una ujumbe murua hasa kama kuna yanayo kgusa,mfano- kuacha mpenzi halafu uko ugenini kweli ni shida.kwa sisi tulio owa na kuishi ugenini sana sana hukumbuka ndugu jamaa na marafiki. Da yasinta hebu jaribu kuusikiliza pia wimbo wa kamilioni usemao' BADILISHA' NIMTAMU PIA.KAKAS

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Sam!!! kwa sababu ni kweli unajua wakati mwingine unapoamka wazo laja tu hata bila kuwaza...ntasikiliza ahsante kwa kupita hapa Ijumaa njema na familia.