Friday, September 13, 2013

IJUMAA YA LEO NIMEFIKA HADI IRINGA NA NIMEONA NIWAONYESHE KILE NILICHOKIONA NA KUKIFURAHIA:- NGOMA YA ASILI YA WAHEHE/WABENA KARIBUNI!!!


NAPENDA KUWATAKIEWNI WOTE IJUMAA NJEMA NA KUMBUKENI TUPO PAMOJA. Kachiki upu nawe mtani wangu Fadhy na wengine wote jiungeni nasi najua kaka S na  dada mkuu msaidizi mnakumbuka kitu hapa...

5 comments:

ray njau said...

Ala kumbe mbaguzi kwenye burudani,si unaona eeenhe!!Umewataja wachache tu!
Wikiendi hiyo kwako na familia yako.
=====================================

Karibuni kwetu Kilimanjaro mcheze kikwetu kwetu.
====================================

Yasinta Ngonyani said...

Si kwamba mbaguzi wa burudani la hasha la sivyo nisingeweka hapa..Nimewataja hao kwa vile najua ndiyo wataKAOTUONGOZA KATIKA UCHEZAJI kwa vile naamini wamecheza tanga utoto wao....ni hii tu. Kuhusu kuja Kilimanjaro usiwe na shaka binafsi napenda sana ngoma za asili kwa hiyo nitajitokeza siku moja kuja kucheza...

Anonymous said...

Tuhongidze ve munu va venave(Sangonyani-mama Erick).Hapa nilipo nimetikisika sana maana hii ngoma imo damuni tangu utoto

Rachel siwa Isaac said...

Hahaaahah.. pole sana kaka wa mimi Ray....

KADALA wa mimi Sandeee.. nipo hoii hapa kwa kuchezaa...Ukangalage ulimage..
uwe na Ijumaa njema na familia pia..

Pamoja sana.

emu-three said...

Muacha utamaduni wake ni mtumwa