Tuesday, July 2, 2013

VARBERG SWEDEN:-MCHANA WA LEO NIMETEMBELEA JENGO LENYE HISTORIA LAITWA FÄSTNING/FORT

 Nimependa ujenzi huu jumba hili lilianza kujengwa 1300 na lilijengwa kwa ajili kwa ajili ya kulinda mji wa Varberg na nchi ya Sweden wakati vita na maadi wabaya

6 comments:

ray njau said...

Hongereni kwa ziara ya kihistoria.

Unknown said...

Hongera Sana dada,

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kaka ray na dada nancy. Tupo pamoja

emuthree said...

Hongera mpendwa, tupo pamoja

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante ndugu wa mimi. Pamoja daima. I

Mija Shija Sayi said...

Bonge ya Jengo..Bagamoyo pia kuna ya hivi nadhani yalijengwa na mjerumani pia...