Tuesday, July 16, 2013

JUMANNE YA LEO TUANGALIE KATON HII...EBU SOMA MWENYEWE.....

USHOGA NI HATARI
Leo na katuni hii tuache umbea jamani hakikisha kwanza hilo jambo ndo ufanye tuacha tabia ya kugombanisha ndoa za watu. Nawatakieni wote mtakaopita hapa JUMANNE NJEMA SANA. NA KUMBUKENI WOTE MNAPENDWA.

5 comments:

Nancy Msangi said...

Dadaangu usiseme marafiki ni watu wabaya sana tena huyu dada ashukuru mumewe kamwelewa vingine ilikua ni talaka tu. Ubarikiwe dada kwa kutupa somo mm kwnz marafiki kike ctak kabsa mn ni nyoka, jumanne njema na kwako dada.

Yasinta Ngonyani said...

Nipo nawe Nancy..ukimpata rafiki mwema na mshauri mzuri Ushukuru. ..leo rafiki kesho kakugeuka...

ray njau said...

Ubaya hauna nyumba lakini wema una makazi yake!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Hakika umenena na chilawu mewawa.