Friday, July 5, 2013

NIPO NJIANI NARUDI NA MARA NIMEKUMBUKA NA KUTAMANI MIHOGO NA KACHUMBALI UWE MLO WANGU WA MCHANA HUU!!

Mmm mihogo kachumbali mlo mtamu sana mate yanachuruzika...je nawe umetamani? Ijumaa njema ndugu zangu

8 comments:

Nancy Msangi said...

Dah, dada yasinta umenikumbusha arusha yaani kule ni biashara isiyokuwa na msimu mhogo na kachumbari dah tamu sana. Nakutamaniaje,

Nancy Msangi said...

Dah, dada yasinta umenikumbusha arusha yaani kule ni biashara isiyokuwa na msimu mhogo na kachumbari dah tamu sana. Nakutamaniaje,

Mija Shija Sayi said...

Yasinta sema tukutumie dada mkuu...

Vipi huko lakini?

Mija Shija Sayi said...

Yasinta sema tukutumie dada mkuu...

Vipi huko lakini?

ray njau said...

Mimi nimekula mhogo wa kuchoma!!

emu-three said...

Aaah, chips dume

Anonymous said...

Mh tamu jamani mbona hivyo kwa ambao hatuwezi kukipata hichi chakula basi tutaishia kula kwa macho tu.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu zanguni yaani hakuna chakula kitamu kama chakula ulichokua nacho....dada mkuu msaidizi nitumia nitashukuru.pamoja daima....