Wednesday, July 17, 2013

NIMEUPENDA HUU WIMBO NA LEO NILIKUWA NAWAZA HIVI NA BAHATI NIMEKUTANA NA WIMBO HUU UKIPATA MUDA EBU SIKILIZA ASEMAVYO MUIMBAJI...MANENO MANENO....


Kila siku ninapoamka ninapoinza siku mpya ninamshukuru Mola kwa kunilinda nafasi nyingine nikapewa labda nikijituma kwa siku wataniletea ......haya endelea kusikiliza ujumbe wake..JUMATANO NJEMA SANA.

7 comments:

ray njau said...

Huu ni ujumbe mzuri!!

Yasinta Ngonyani said...

Ni ujumbe mzuri mno..binafsi nimeupenda sana. Maana kuna wengi wakikosa leo basi wanakata tamaa......tusikate tamaa tumshukuru mungu na tusimame imara

Anonymous said...

Mwimbo mzuri mno da Yasinta. Vipi mambo ya bustani na mapishi yanaendeleaje? Itabidi ulime na mapapai. By Salumu

Nancy Msangi said...

Dah, massage nzuri Sana Da yasinta wasanii hawajui tu wao wanajali maslahi hizi ndio nyimbo zenye kuburudisha na pia unapata somo. Jumatano njema na kwako dada.

Nancy Msangi said...

Dah, massage nzuri Sana Da yasinta wasanii hawajui tu wao wanajali maslahi hizi ndio nyimbo zenye kuburudisha na pia unapata somo. Jumatano njema na kwako dada.

Anonymous said...

Out of topic dada Yasinta, vipi maendeleo ya bustani yako? Vipi mboga zimeisha au? Jamani wengine tunapenda kilimo sana, niwie radhi.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka salum:-D ahsante. Bustani na mapishi yapo wala usikonde vinakuja. Mapapai nitalima we ngoja.

Nancy! Ni furaha kwangu kujua umepata somo.

Usiye na jina wala udikonde bustani ipo na mboga kemkem njoo tule....kesho nitakuonyesha maendeleo:-D