Monday, July 29, 2013

JUMATATU YA LEO TUANZE KIHIVI ...ELIMU/KITABU.....

Mwaka huu nilipokuwa nyumbani sikukosa kwenda duka la vitabu Peramiho kununua vitabu na kitabu mojawapo ni hiki ukionacho pichani WANGONI....VITA, HADITHI, METHALI NA VITENDAWILI....Kwa kweli nakipenda sana kwani najifunza mengi.

4 comments:

ray njau said...

Nipe kitabu nichome,niwapundishe wajinga hai......... chindimba!!

Nancy Msangi said...

Hongera dada yasinta

Nancy Msangi said...

Hongera dada yasinta

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni ndugu zanguni yaani nafurahi mno kujua zaidi mimi ni nani wiki ijayo nitawaonyesha kitu lingine ni mli ghafi sana:-D