Sunday, July 28, 2013

JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI HUU MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA WIMBO HUU..JICHO


 
AU TU NGOJA TUENDELEE NA HUU PIA

JUMAPIULI IWE NJEMA KWA WOTE NA YENYE AMANI NA UPENDO. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA. KAPULYA

4 comments:

Justin Kasyome said...

Asante kwa nyimbo nzuri!Nawe pia uwe na jumapili njema dada mpendwa...

Yasinta Ngonyani said...

Justin! Shukrani kwa hilo...nawe nadhani jumapili yako imekuwa njema na yenye amani na upendo

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana KADALA Iwe njema kwako na failia pia!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki ...sandi nawe na salamu kwa familia pia