Saturday, July 20, 2013

SALAMU ZA JUMAMOSI HII KUTOKA KWA NANGONYANI!!!!!

Acheni niwape hai, sina shaka mpo hai, nami pia nipo hai, ndiyo maana nawapeni hai, kwa kuwa sote tupo hai tupeane hai, hai, hai hadi Wilayani. Ilikwa hivi tu kwa JUMAMOSI HII.MNAPENDWA WOTE JUMAMOSI NJEMA.

7 comments:

ray njau said...

Hai nasi tupo hai,asante kwa tupa hai na tuombe Mungu tuzidi kuwa hai ili tuendelee kupeana hai,hai,hai, kwenu nyote hadi wilayani Hai.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray kwa kweli ni jambo la kunshukuru muumba kwa kutupa uhai, ahsante.

Rachel Siwa said...

HAi dada wa mimi nasi tunashukuru..wape Hi watu yangu hapo nyumbani.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki! Usengwili na veve. Salamu zimefika salimia hapo nyumbani nawe.

Unknown said...

Tunashukuru nawe tunakupa hao,

emu-three said...

Twashukuru mpendwa, naona ubongo-fleva unakunyemelea au?

Yasinta Ngonyani said...

Nancy! Ahsante!
emu-three! Ahsante..HAPANA mimi ubongo wa fleva sitaweza.:-)