Wednesday, January 16, 2013

UJUMBE WA SIKU YA LEO!!

Watu wengi Binadamu wachache!! TUWE NA SIKU NJEMA!!!

4 comments:

ray njau said...

Wengi wetu tunaukosa ubinadmu kutokana na kushindwa kuacha busara itangulie sheria na kudumisha fadhili zenye rehema na upendo katika kutimiza majukumu yetu ya kila siku.

Mija Shija Sayi said...

Neno hilo dada mkuu..

Uwe na siku njema..

sam mbogo said...

Ray na da,Mija, kwa mnavyo ona nyinyi binaadamu ninani hasa? yukoje huyo binaadamu? je mtu au watu ndo akinanani? au mtu ninani?.ujumbe huu /neno la leo inategemea umesimamia upande upi ili kupata hasa umaana wa neno hilo au ujumbe huo. kaka s

Rachel siwa Isaac said...

Mmmhh Swadakta!!!!!