Saturday, January 12, 2013

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO HEWANI TENA...AHSANTENI KWA MAOMBI YENU...!!!

Nimetulia nakula embe karibuni si mwaona zilivyo nyingi:-)


Blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuawataarifu kuwa sasa itakuwa nanyi hewani tena kama kawaida. Napenda kuwatakeni samahani kwa usumbufu wa kutopata matukio kama ilivyozoeleka. Pia nachukua nafasi hii kuwa-SHUKURUNI KWA MAOMBI YENU kwa safari yangu na familia yangu. Tumesafiri salama na hii nina imani ni kutokana na maombi yenu. AHSANTENI SANA PAMOJA DAIMA....KAPULYA...

10 comments:

Ester Ulaya said...

Nafurahi kusikia safari ilikuwa njema na mmefika salama....nafurahi kusoma kuwa matukio yetu sasa yatakuwa hewani tena........Amen

isaackin said...

welcome back mwadada,i hope una matukio ya kutosha toka huko

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Ahsante kwa yote...mengi yatakuja usikonde

Kaka isaack ..Ahsante sana na karibu tumalizie mapochopocho pamoja:-) kuhusu matukia usikonde.

Ester Ulaya said...

duh...hayo maembe jamani.....haya naubiri kwa hammu dada

Rachel siwa Isaac said...

Wawoooo "Kadala" umeshaanza na picha zako za kichokozi mwehh..Hata unihurumiiii Kachiki?....

Tunamshukuru sana MUNGU kwa kuwalinda na Kurudi salama....

ukishapumzika nitumie sms ukiwa nyumbani nikupigie..kuanzia J'4-alhamisi nitakuwana Nafasi!!!!

KARIBU TENA KADALA!!!!

Mija Shija Sayi said...

Umependezejeee dada mkuu.. karibu tena tulikumiss..

Steven Bulamu said...

AKIKA UKIWA NA HIMANI AKUNA KITU KITAKACHO KUFUMBA MBONI ZA MACHO YKO KILA KTU KITAKUWA WAZ NA SALAMA KWAKO TRUST LORD ONLY

batamwa said...

vipi kwani umisharudi sweden?mbona hujaaga?haya pamoja nahayo pole na safari tuko pamoja tulikumiso sana wasalimie wote huko

batamwa said...

ilatu hukunipa salamu za MILLEN AU HUKUUFIKISHA UJUMBE WANGU?msalimie vilevile ahsante sana

ray njau said...

Embe ni tamu lakini mlaji akizidisha huzua mashaka!