Wednesday, January 16, 2013

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA SIMON KITURURU/KADODA..BABA MAX!!!

KAKA SIMON KITURURU /BABA MAX HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA Mwezi huu ni kumbe tupo wengi tuliozaliwa mojawapo mimi mwenyewe ambaye nimevunja makumi kadha, Na leo kaka Simon Kitururu naye kavunja kalenda na wengine wote kama vile shemeji Isaac mume wa dada Rachel, kaka Haki Ngowi, baba wa mzee wa Changamoto, na mtoto wa kaka yangu Sam Mbogo, mtoto Oskar..na wengine wote wanaotimiza miaka/mwaka mwezi huu HONGERA SANA KWA MWEZI WETU...!!!

4 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana Mtakatifu.. Mwaka umeuanza vizuri huu...as "baba"

Happybirthday..

NN Mhango said...

HB Kitururu. Kwanini ulinidanganya hivyo bro. Uliniahidi comments baada ya kusoma kitabu changu cha Saa ya Ukombozi halafu ukatupa jongoo na mti wake! Anyways, keep yourself warm.

John Mwaipopo said...

hongera nguli. usitupe jongoo na mti wake this year.

Rachel siwa Isaac said...

HONGERA kaka Kitururu na wote mliozaliwa mwezi huu!!!