Friday, January 25, 2013

NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA KWA WIMBO HUU:- MOYO WA SUBIRA NA LINEX!!!!


IJUMAA NJEMA JAMANI ...TUWE NA MOYO WA SUBIRA HATA KAMA TUMEUMIA/UMIZWA....KAPULYA

2 comments:

sam mbogo said...

Kazi kwelikweli,mapenzi . ndoa kiboko kila mtu anatafsiri yake hasa unapo tokea mfarakano. yawezekana ikawa kweli ukivuta subira!!??/ lakini kama mimi subira ni njia mojawapo ya kupata ufumbuzi,hasa ukiangalia tatizo /kosa lina lina weza zungumzika au kwa kuangalia nini chanzo chake,napia ni muhimu kujipima kwa makosa hayo na kujiuliza je ungekuwa ndiyo wewe mume au mke umefanya kasa hilo ungefanyaje?.mara nyingi yawezekana kama wana ndoa kuna mahali mlipaacha wazi/nyufa na hamkuchukuwa tahadhari na matokeo yake inakuwa kutokuelewana.au mara nyingi ni hulka za sisi binaadamu kuto wajibika ipasavyo kwe nye ndoa zetu au mahusiano yetu. na mwisho lazima kuwe na mmoja wenu ambaye atajishusha ili kuepusha hali ya nani zaidi,nahii yaweza kusaidia sana katika kurejesha maelewano. wimbo mzuri kijana analala mika kwelikweli.kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Kaka S..hapa umesema ukweli kabisa..na pia tukumbuke ya kwamba katika ndoa mawasilimo ni muhimu sana kukaa china na kuongea.