Thursday, January 31, 2013

POLENI KWA MSIBA DADA MIJA NA WANANDUGU WOTE!!

Mwenzetu mwanablogu Mija Shija juzi amefiwa na mjomba wake mpendwa mzee Moses Tito Kachima (pichani juu)katika hospital ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge Dar es salaam.Kwa habari zaidi mtembelee Mija Shija. Poleni sana, tuko pamoja.

2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Yasinta asante sana..!!

Yasinta Ngonyani said...

Tupo pamoja Mija wakati wa raha pia shida...