Sunday, January 20, 2013

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI NJEMA SANA!!!!! MICHEZO NI FURAHA!!!!

Licha ya kuwafundisha watoto elimu ya kitabuni, wanahitaji pia michezo ili waweze kujengeka kimwili, kiakili, kiroho na kuwa na maadili mema.. JUMAPILI NJEMA SANA....

7 comments:

chib said...

Nawe tunakutakia jumapili njema!

sam mbogo said...

Enzi zangu shule ya msingi ,nilikuwa naitwa bendi masta wa shule,pia nilikuwa na puliza filimbi vizuri tu katika bendi ya shule.lakini nikikumbuka shule za msingi zamani walimu walikuwa wanatuonea sana,wakishirikiana na vilanja! ila ndo makuzi tuliyo pitia, haya da Yasinta na weye jumapili njema.kaka s

Rachel siwa Isaac said...

Iwe Njema kwako na Familia na wote!!!!

Ester Ulaya said...

hao watoto wamenikumbusha enzi za kucheza ngoma na kuimba kwaya shuleni

Ester Ulaya said...

hao watoto wamenikumbusha enzi za kucheza ngoma na kuimba kwaya shuleni

emu-three said...

J3 NJEMA MPENDWA, TUPO PAMOJA

Justine Magotti said...

nimeipenda sana