Monday, August 16, 2010

HODI HODI NDUGU ZANGU SASA LIKIZO IMEKWISHA NA NIPO NANYI TENA KAMA KAWAIDA!!!


Nimekuwa likizo wiki tatu sasa na bahati mbaya au nzuri wakati huu wote kumekuwa na mvua tu kwa maana hiyo likizo yangu haikuwa nzuri na hakuwa kama nilivyopanga- Haya sasa nimerudi tena katika ulimwengu huu wa kublog na nipo nanyi ndugu zangu tena. Ni furaha sana kuwa nanyi na nilikuwa nimewa-miss sana sijui kama nanyi mlini-miss mie?

16 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

karibuni

Koero Mkundi said...

karibu tena na tena dada. tupo pamoja

emu-three said...

Karubu tena, natumai una zawadi nyingi, umependeza kweli..lol

nyahbingi worrior. said...

Likizo,miaka 400 sijui likizo ni nini,natamani niende kijijini nami.

Karibu sana.

MJASIRIAMALI said...

WELLCOME BACK SISTER, ENJOY LIFE IWE KAMA KILA SIKU KUNA LIKIZO USIKU.UKIFIKIRI LIKIZO YA KWENDA MAPUMZIKO HUWA HAIWI MAPUMZIKO BALI KAZI ZA AINA NYINGINE.
JOHNS

EDNA said...

karibu tena, tulikumiss kweli,maana kila tukipita hapa ilikuwa ni hola!

Blackmannen said...

Karibu tena nyumbani "mtani" wangu. Ungonini hawajambo wote? Umetuletea zawadi ya "Chamaki Nchanga?"

Naona ilikuwa ni beach kwa kwenda mbele, maana naona umekuwa-Black zaidi. Karibu sana, tuliku-miss sana.

It's Great To Be Black=Blackmannen

Israel Saria said...

Karibu nilikumiss.

Fadhy Mtanga said...

Karibu sana da Yasinta. Bila shaka ulikuwa na wakati mzuri sana.

Yasinta Ngonyani said...

Napenda kuchukua nafasi hii na kuwashukuruni wote mlionikaribisha tena katika ulimwengu huu wa kublog na pia hata wale waliopita na kusoma tu. Likizo yangu likuwa nzuri kiasi kwani wakati wote nipo likizo kumekuwa na mvu mvu mvua. Lakini hata hivyo nafurahi nimekuwa na familia yangu wakati wote na pia nimepumzika vya kutosha na kupumzisha akili. Sasa nipo nanyi pia. Upendo Daima...Wote mnapendwa.

Robert Vumu said...

Dada Yassy karibu sana!, Siamini kabisa macho yangu,Upo Fiti yaani kama vile "mwaka arobaini na sabaaaaa!" unaonekana kama una miaka 18, Hongera endelea hivyo kutunza mwili wako.

mumyhery said...

karibu tena mwanakwetu tulikukosa sana!!!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

karibu tena!

Simon Kitururu said...

Picha Bomba! Mdada weye mzuri!:-(

Penina Simon said...

Yes baby, Karibu sana, tulikumiss mno

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Natumaini umerudi kwa kasi mpya, nguvu mpya na ...Karibu sana dada Yasinta.

Karibu nitaanza kuomba sura za kile kitabu chetu. SIJASAHAU!!!