Tuesday, August 10, 2010

HERI KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA MUBELWA T. BANDIO

Ni jambo la kumshukuru Mola kwa kututunza tangu siku ile tuzaliwapo mpaka kila mwaka kuongeza mwaka mmoja zaidi. Na leo ni siku kubwa sana kwako. Maana umetimiza makumi matatu sasa ni safari ndefu sana. HONGERA SANA. NA MOLA AKUBARIKI PIA AIBARIKI FAMILIA YAKO.

10 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mwanablogu makini, mchambuzi yakinifu, mtoa hoja thabiti......

Mubelwa;

Wewe ni uthibitisho halisi wa ile methali ya Kinaijeria isemayo kwamba "hekima haipatikani katika mvi tu"

Nakutakia miongo mingine mingi mizuri huko mbeleni. Hongera kwako pamoja na familia yako.

HAPPY BIRTHDAY!!!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Hongela musee ya changamotoz!

emu-three said...

Tunampa hongera sana, na jaribu kukumbuka siku kama ya leo ulikuwaje, jamani tunatoka mbali

Anonymous said...

hongera mzee wa changamoto mungu akuzidishie miaka mingi zaidi yenye mafanikio mema

mumyhery said...

Happy Birthday Mubelwa, Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na afya tele

Flora Wanna said...

hellow,
mi pia nakutakia maisha marefu yenye amani na upendo, mungu akuzidishie tena makumi mia
happy birthday bro
nice time.
tchao.

Penina Simon said...

Happy birth day Mubelwa,
Umekua na kufikia wapi kwa sasa?

Take care,

Christian Bwaya said...

Huyu bwana tuna bahati kuwa naye kwenye blogu.

Niishie hapa kwa wasifu wake. Ila tu nisisahau kumtakia siku njema ya kuzaliwa!

Blackmannen said...

Mubelwa T. Bandio..........!!!!!!
This Is Black=Blackmannen

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii nawashukuruni wote mliopita katika kibaraza hiki najua nilikwa likizo lakini nilikuwa naiba iba muda. Nami nnasema tena HONGERA SANA KAKA MDOGO MUBELWA MIAKA 30 sio midogo. Ubarikiwe sana na pia familia yako.