Monday, April 26, 2010

TOVUTI/BLOG MPYA YA VIJANA FM !!

Shikamoo dada Yasinta,

Kwa niaba ya timu nzima ya Vijana FM nakuomba unisaidie kuitangaza tovuti/blog mpya ya www.vijanafm.com / www.vijanafm.blogspot.com.

Natanguliza shukrani za dhati na unakaribishwa kutoa maoni. Kama unaona kuna sehemu tunapaswa kuboresha zaidi usisite kuwasiliana nami.

Steven.
Kwa niaba ya Vijana FM.

4 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Hawa ni Vijana wanaoandika mambo meengi chanya kuihusu jamii.
Naomba tuungane nao kwa hakika
Blessings

SN said...

Shukrani Mzee kwa support yako!

Yasinta Ngonyani said...

nami ngoja niwakaribisha sana katika ulimwengu huu wa kublog.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

karibuni wajameni katika ulimwengu wa kuharishana