Monday, April 26, 2010

Jamani Elimu haina mwisho!!! Msikilize mwanamke huyu wa shoka asemavyo!!

7 comments:

Fadhy Mtanga said...

Ni kweli kabisa da Yasinta

Unknown said...

Imagine kule Tabora miaka hiyo kulikuwa na jamaa anaitwa afande Peter. Jamaa alikuwa na kama miaka arobaini na kitu na alikuwa kidato cha pili anapambana na mtihani wa kuingia kidato cha pili.

Unknown said...

kidato cha tatu... sorry...

chib said...

Aliyetia fora alikuwa ni yule mzee wa Kenya aliyeanza shule ya msingi akiwa na miaka zaidi ya 80, bahati mbaya alifariki kabla hata ya kumaliza shule ya msingi
Ingia au nakili anuani hii ya wavuti hapa upate habari za Mzee huyo
http://ebchib.blogspot.com/2009/08/oldest-pupil-in-world-died.html

Mija Shija Sayi said...

Aisee hawa ndo watu wa kuiga mfano, acha watu wamcheke lakini kidogo kidogo atakuja acha watu kinywa wazi. Hebu fikiria anasema ni lazima afike chuo kikuu, watu wa hivi wakiamua huwa wameamua.

Asante Da'Yasinta kwa kutuletea mama huyu wa shoka.

Baraka Chibiriti said...

Nimeipenda sana tena sanaaa hii, asante sana Dada Yasinta kwa kutuletea habari nzuri kama hii. Sasahivi umepita ule wakati wa kunyanyasa wanawake na watoto, kwasasa ni kusoma tu na kuwa na haki sawa.

Samuel rwegasira said...

Elimu haina mwisho ni nguvu zako na akili yako.