Friday, June 6, 2008

Nembo ya Taifa


1. Mwenge huwapa tumaini waliokufa moyo, heshima kwa wale wanaonyanyaswa na amani pale palipo na chuki.
2. Bendera ni alama ya Tanzania huru,
3. Silaha,; mkuki, mshale na shoka ni silaha za kilinda na kujenga Taifa.
4. Mlima Kilimanjaro ambao ni mrefu kuliko yote katika Afrika upo Tanzania
5. Mazao ya pamba na kahawa kuonysha utajiri wa kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi
6. Pembe huonyesha utajiri wa wanyama wa asili katika Tanzania.
7. Mume na mke huonysha usawa, ushirikiano na umoja wa watu katika kujenga Taifa
8. Na mwisho ni Uhuru na Umoja ndiyo wito maalum wa Taifa.
Na; Yasinta Ngonyani

4 comments:

Anonymous said...

Ama kweli ni mtanzania mwenye nia wakwanza tena wenye wiu wajinyonge.Nakupenda sana TANZANIA,sina mahali pengine pa kwenda

Ahmed Lema said...

����������������❤❤

Unknown said...

mazao ni karafuu na pamba

Unknown said...

Mini tofauti kati ya ngao ya taifa na nembo ya taifa