Thursday, March 31, 2016

JE? WEWE UNGEFANYEJE?

Tumbili na sokwe walijikuta wamekaa pamoja kanisani. Mara Padre/Pastor akasema, mgeukie mwenzako na mwambie wewe ni mzuri. Tumbili akageuka na kumwangalia sokwe kisha akacheka na kumwambia Padre/Pastor mwambie mwenyewe mimi sitaki dhambi.
Je hiki ni kichekesho au?
NAWATAKIENI WOTE JIONI NJEMA

2 comments:

NN Mhango said...

Hawa jamaa hawakutaka kuwa wanafiki kama wale wanaoambiana wewe ni mzuri wanavyofanya. Kwani kanisani wanafuata uzuri au neon? Natamani ningejua hili kanisa na wapi na wakati walipokutana hawa jamaa wa mwituni. Laiti kwenye ibada hiyo wangekuwapo mzee Mkapa na mzee Jangala wakaambiana uzuri wao. Natamani angekuwapo Anna Mkapa na Lucy Kibaki wakaambiana walivyo wazuri. Ngoja nijiambie mwenyewe: Mimi ni msupu au mzuri kama wasemavyo wakenya. Je ungekuwa wewe ungesemaje au ungefanyaje?

Yasinta Ngonyani said...

Duh kaka Mhango...Bonge la komenti:-)