Friday, March 4, 2016

IJUMAA YA LEO TUPO KATIKA SOKO LA NAMTUMBO NJE KIDOGO YA MJI WA SONGEA

Hebu angalia hapa vyakula vyetu vya asili yaani hata kuangalia tu unashiba... umeona eehh. Nyanya, Tangawizi na vyakula vingine kwa wingiiii...Mmmmhhh ngoja NIWATAKIENI IJUMAA NJEMA. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA.

2 comments:

ray njau said...

Inapendeza kuona vyakula vyetu lakini vikifika mjini bei zake hazikamatiki.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ni kweli lakini hata hivyo kwani inabidi tukubaliane na hiyo bei maana hata wao inawagharimu sana hadi kufika mjini na hivyo vyakula....