Tuesday, March 29, 2016

PICHA YA WIKI:- NI DADA MIJA WA MWANAMKE WA SHOKA NA MASANJA MKANDAMIZAJI WAKIWA NORWICH UK SIKU YA JUMAMOSI KUU

Pale unapokuwa na vyanzo vya habari  sehemu mbalimbali....hapa ni Masanja Mkandamizaji na Dada Mija (Mwanamke wa Shoka) Siku ya Ijumaa Kuu huko Norwich UK. Halafu wewe Mija una bahati sana kwani nilikuwa mbioni kukutangaza upo wapi ...hakika watu wengine wana machale...haya nashukuru unaonekana wa afya njema...

2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hahaaa..kumbe nimekuwahi! Nipo dada mkuu. Asante sana kwa kunipa nafasi kibarazani kwako.

Ubarikiwe sana.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani dada mkuu msaidizi una machele sana sana..Usijali DAIMA PAMOJA!