Friday, March 25, 2016

NAWATAKIENI PASAKA NJEMA YA KHERI NA BARAKA TELE.......!!


NI IJUMAA KUU BASI NA TUTIMIZE YALE YOTE YANAYOTAKIWA KWA SIKU HII YA IJUMAA KUU. IJUMAA KUU IWE NJEMA KWA KILA ATAKAYEPITA HAPA NAWE MTAKIE IJUMAA NJEMA MWINGINE NA PIA PASAKA NJEMA.

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante Kadala
iwe njema kwenu pia.

NN Mhango said...

Nawe uwe na sikukuu njema huku ukimuyanza mwami Yesu mwana wa Nyasae.

Yasinta Ngonyani said...

Kchiki Ahsante sana.
Kaka Mhango! Ahsante Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani nimekuwa naafya njema na nimemuyanza mwami Yesu...