Sunday, March 27, 2016

KUTOKA MAISHA NA MAFANIKIO TWAWATAKIENI WOTE PASAKA NJEMA SANA

Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye alitoa uhai wake kwa ajili yetu, imetupasa na sisi kuutoa uhai wetu kwa ajili ua hao ndugu. Yoh. 3:16.
Pasaka njema na jumapili njema sana !!!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimeona nianze kusema....Leo ni sikuku ya pasaka Bwana wetu yesu Kristo amefufuka na wote tumshangilie. Pia ni siku nzuri kama ya kumsamehe uliyemkosea hata akibidi basi tujumuike kwa pamoja kwa mlo.