Saturday, March 19, 2016

UJUMBE WA JUMAMOSI YA LEO!

"utajiri wa leo ni uzima , na wala sio vipande vya dhahabu au shaba" Na Mahatma Ghandhi.
NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA SANA.

2 comments:

Sephania Philingson said...

Ukweli ndo huo lakin tukeshe tukiomba

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Sephania...Kwanza nasema Karibu sana katika hiki kibaraza cha Maisha na Mafanikio... pia ahsante kwa mchango wako.