tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8655902974164454073..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: JE? WEWE UNGEFANYEJE?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-65841944659164102232016-04-01T19:58:15.889+02:002016-04-01T19:58:15.889+02:00Duh kaka Mhango...Bonge la komenti:-)Duh kaka Mhango...Bonge la komenti:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34987212354393524102016-03-31T19:13:11.490+02:002016-03-31T19:13:11.490+02:00Hawa jamaa hawakutaka kuwa wanafiki kama wale wana...Hawa jamaa hawakutaka kuwa wanafiki kama wale wanaoambiana wewe ni mzuri wanavyofanya. Kwani kanisani wanafuata uzuri au neon? Natamani ningejua hili kanisa na wapi na wakati walipokutana hawa jamaa wa mwituni. Laiti kwenye ibada hiyo wangekuwapo mzee Mkapa na mzee Jangala wakaambiana uzuri wao. Natamani angekuwapo Anna Mkapa na Lucy Kibaki wakaambiana walivyo wazuri. Ngoja nijiambie mwenyewe: Mimi ni msupu au mzuri kama wasemavyo wakenya. Je ungekuwa wewe ungesemaje au ungefanyaje?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com