Wednesday, May 7, 2014

NIMEIPENDA PICHA HII..NA NDIYO BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA IWE PICHA YA WIKI!!

Nimependa jinsi walivyojipamba:-Nywele, vidani, na bila kusahau tabasamu/Mapozi na halafu ngozi zao nyororo. PAMOJA DAIMA!!

7 comments:

Nicky Mwangoka said...

Nzuri sana, yaani Waafika kwa asili ni wapole, wenye furaha na wazuri kama picha inavyoakisi

www.chatguest.com said...

Mpo sahihi kabisa tena inaonekana wametumia vitu vya asili kujipamba sio kama wengine wanadumisha tamaduni za wagani na kuziua zao.

JOHN said...

Mpo sahihi kabisa tena inaonekana wametumia vitu vya asili kujipamba sio kama wengine wanadumisha tamaduni za wageni na kuziua zao.

Yasinta Ngonyani said...

Na ndio maana nimevutuwa sana na hii picha. Hakuna kupoteza mihela kwa ajili ya kujikoroga ni ya kiasili asili tu.

Anonymous said...

Kasoro ni hayo mafuta ya ng'ombe...wakati mmwingine huvunda na kunuka!

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina! lakini kwani hunika sana? au je afadhali ipi kunuka mafuta ya ngómbe au kuweka mikorogo na kupata magonjwa yasiyotibika?

obat telat bulan said...

obat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec